Opera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Opera ya Aida ya Giuseppe Verdi katika uwanja wa Kiroma mjini Verona, Italia

Opera ni igizo inayoimbwa katika utamaduni wa Ulaya. Waigizaji hawasemi bali huimba maneno yao. Igizo ya opera hufanywa mara nyingi katika nyumba za pekee. Pamoja na waigizaji na waimbaji kuna bendi maalumu.

Maigizo ya Opera hufuata maelezo ya kimaandishi na kila neno la mwigizaji limeandikwa. Vilevile uimbaji pamoja na muziki yote ni ya kuandikwa.

Watungaji mashuhuri wa muziki walitunga opera kama vile

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: