Yasunari Kawabata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yasunari Kawabata

Yasunari Kawabata (11 Juni 189916 Aprili 1972) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ujapani. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1968 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yasunari Kawabata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.