Riwaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Riwaya ni kazi andishi ya fasihi ambayo kwa kawaida ni ndefu zaidi kuliko hadithi fupi. Urefu wa riwaya, maana yake ni kwamba msuko simulizi umejengeka vizuri, kuna wahusika wengi, inaenea muda mrefu, na mada zake ni nzito na pana kiasi. Mifano mizuri ya riwaya kwa lugha ya Kiswahili ni Nagona au Mzingile, riwaya za mwandishi Euphrase Kezilahabi.

Kamusi ya Fasihi iliyotolewa na K.W. Wamitila inataja aina nyingi tofauti za riwaya, k.m. riwaya changamano, riwaya sahili, riwaya kiambo, riwaya ya kibarua na nyingi nyingine.

Uandishi wa riwaya[hariri | hariri chanzo]

== Uhariri wa riwaya == mizimu ya watu wa kale

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Wamitila, Kyallo Wadi (2003), Kamusi ya Fasihi - Istilahi na Nadharia, Nairobi: Focus Publications. ISBN 9966-882-79-6
  • Samwel, Method, Selemani Amina na Akech Kabiero (2013), "Ushairi wa Kiswahili: Nadharia, Mifano na Mwongozo kwa Walimu wa Kiswahili," Dar es Salaam: MEVELI Publishers. ISBN: 978-9987-9735-0-7