Turibi wa Astorga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Toribi katika kanisa kuu la Astorga.

Turibi wa Astorga (402 hivi - Astorga, Hispania, 476 hivi) alikuwa kwanza mkaapweke, halafu askofu wa mji huo ambaye alipambana na uzushi wa Waprisiliani[1], Wamani, Waario, Wapelaji pia kwa agizo la Papa Leo I ambaye barua aliyomuandikia imetufikia[2][3].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Aprili[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Alonso del Val, José Maria (2000). Santo Toribio, Obispo (es). El Diario Montanes. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-12-24. Iliwekwa mnamo 2021-04-06.
  2. Epistula 15: Ad Turibium Asturiensem episcopum de priscillianistarum erronibus: Pope Leo I. J.-P. Migne, ed. Patrologiae cursus completus. Series Latina 54. Garnier Frères. pp. 693–695. 
  3.  Kirsch, J.P. (1913). "Pope St. Leo I (the Great)". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company.
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92779
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.