Upelaji
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wapelaji)
Upelaji (kwa Kiingereza: Pelagianism) ni mtazamo wa teolojia ya Ukristo unaodhani dhambi ya asili haijaharibu umbile la binadamu, hivyo hiari yake inaweza bado kutekeleza maadili bila kuhitaji neema ya pekee kutoka kwa Mungu. Hatimaye mtu anaweza kujipatia wokovu kwa juhudi zake mwenyewe.
Mtazamo huo umepata jina kutokana na mmonaki wa Ireland[1] Pelagius (354–420 au 440), ingawa pengine huyo alikataa baadhi ya mafundisho yaliyosemekana kuwa yake.
Ulipingwa hasa na Agostino wa Hippo na kulaaniwa na mtaguso wa Kartago wa mwaka 418, halafu na mtaguso wa Efeso (431).
Hata hivyo unajitokeza tena na tena katika historia ya Kanisa, hasa katika makundi yenye juhudi katika maisha ya Kiroho kama upelajiupande.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ H. Zimmer (1901). "Pelagius in Ireland". Berlin. uk. 20.
{{cite book}}
: CS1 maint: location missing publisher (link)
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Bercot, David. A Dictionary of Early Christian Beliefs, Hendrickson Publishers
- Rees, B. R., The Letters of Pelagius and his Followers, The Boydell Press
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Maandishi ya Pelagius
- Letters of Pelagius: To A Presbyter, Augustine of Hippo, and Pope Innocent I Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Confession of Faith Ilihifadhiwa 1 Desemba 2020 kwenye Wayback Machine.
- On Nature Ilihifadhiwa 26 Februari 2021 kwenye Wayback Machine.
- Defense Of The Freedom Of The Will Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Expositions on Paul's Epistle
- Excerpts Out Of Divine Scriptures: Book One (a.k.a. Chapters) Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Written Anathema Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The Writings of the legendary Pelagians Ilihifadhiwa 6 Januari 2017 kwenye Wayback Machine.
- Canons From The Council Of Carthage Against Pelagianism, May 1, 418 Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Pelagians, Donatists, Monks, Anabaptists and other Perfectionists Ilihifadhiwa 11 Februari 2006 kwenye Wayback Machine. – a sympathetic look at Pelagianism and similar 'perfectionist' movements
- Pelagius Library Ilihifadhiwa 1 Machi 2021 kwenye Wayback Machine.: Online site dedicated to the study of Pelagius
- Pelagianism: The Religion of Natural Man Ilihifadhiwa 1 Aprili 2007 kwenye Wayback Machine. – a critical look at Pelagianism
- Marcus, Gilbert. "Pelagianism and the ‘Common Celtic Church’", University of Glasgow
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Upelaji kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |