7 Aprili
Mandhari
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Aprili ni siku ya 97 ya mwaka (ya 98 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 268.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1498 - Vasco da Gama anafikia mji wa Mombasa katika safari yake kutoka Ureno kwenda Uhindi
- 1655 - Uchaguzi wa Papa Alexander VII
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1652 - Papa Klementi XII
- 1770 - William Wordsworth, mwandishi kutoka Uingereza
- 1786 - William Rufus de Vane King, Kaimu Rais wa Marekani (1853)
- 1915 - Billie Holiday, mwanamuziki Mmarekani
- 1927 - Babatunde Olatunji, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 1944 - Gerhard Schröder, Chansela wa Ujerumani (1998-2005)
- 1946 - Stan Winston, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 30 - Yesu Kristo anakufa msalabani
- 1719 - Mtakatifu Yohane Baptista de La Salle, padri wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa
- 1891 - P. T. Barnum, mfanyabiashara kutoka Marekani
- 1972 - Abedi Amani Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar alipigwa risasi
- 2012 - Steven Kanumba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane Baptista de La Salle, Egesipo, Pelusi wa Aleksandria, Theodoro wa Pentapoli na wenzake, Kaliopi, Askari wafiadini wa Sinope, Joji wa Mitilene, Aibati, Hermani Yosefu, Henri Walpole, Petro Nguyen Van Luu n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |