Nenda kwa yaliyomo

Theodoro wa Pentapoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theodoro wa Pentapoli (alifariki 310 hivi) alikuwa askofu wa Pentapoli (katika Libya ya leo) aliyeteswa kwa ajili ya imani yake pamoja na shemasi Irenei na wasomaji Serapioni na Amoni[1].

Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Aprili[2] lakini pia 26 Machi[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.