Amoni wa Pentapoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amoni wa Pentapoli (alifariki 310 hivi) alikuwa Mkristo wa Pentapoli (katika Libya ya leo) aliyeuawa kwa ajili ya imani yake pamoja na askofu Theodoro, shemasi Irenei na msomaji mwenzake Serapioni[1].

Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Aprili[2] lakini pia 26 Machi[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.