Libya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
الجماهيرية العربية الليبية الشعبية الاشتراكية
(aj-Jamāhīriyya al-arabiyya al-Lībiyya asch-schabiyya al-ischtirākiyya)
Jamahiriya ya Ujamaa wa watu wa Kilibya-Kiarabu
Bendera ya Libya
Nembo la Libya
Lugha rasmi Kiarabu
Mji Mkuu Tripoli
Serikali jamhuri ya Kiislamu
Mkuu wa Dola Mustafa Abdul Dschalil
Waziri Mkuu Abdel Rahim el-Kib
Eneo 1.759.540 km²
Idadi ya Wakazi 5.631.585 (Julai 2004)
Wakazi kwa km² 3,2
JPT/mkazi 4.293 US-$ (2004)
Uhuru kutoka Italia tar. 24 Desemba 1951
Pesa Dinari ya Libya
Wakati UTC+1
Wimbo la Taifa "Libya, Libya, Libya"
Mahali pa Libya katika Afrika
Ramani ya Libya
Ziwa la Um el Maa huko Libya

Jamahiriya ya Ujamaa wa watu wa Kilibya-Kiarabu (kwa kifupi rasmi Jamahiriya ya Kilibya-Kiarabu) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini ikipakana na Bahari ya Mediteraneo, Misri, Sudan, Niger, Chad, Algeria na Tunisia. Muammar al-Gaddafi alipinduliwa mwaka 2011.

Wakazi[hariri | hariri chanzo]

Wakazi wa Libya ni hasa Waarabu (74 %) na Waberberi ambao wengi wameanza kutumia lugha ya Kiarabu pia. Kuna pia Waitalia. Wakazi wameongezeka tangu 1970 kutoka milioni 2.5 kuwa milioni sita hadi karibu milioni sita mwaka 2005. Nusu ya wakazi ni vijana chini ya umri wa miaka 16. Sehemu kubwa kabisa (80 %) huishi sehemu za pwani. Eneo kubwa la nchi ni jangwa la Sahara. Miji mikuu ni Tripoli, Benghazi na Misratah.

Lugha kuu ni Kiarabu pamoja na lugha kadhaa za Kibeberi. Ndizo


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia


WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Libya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.