Nenda kwa yaliyomo

Gerhard Schröder

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gerhard Schröder akiwa na Rais wa Marekani Bw. George W. Bush (2001).

Gerhard Schröder (amezaliwa Mossenberg, 7 Aprili 1944) alikuwa chansela wa Ujerumani kuanzia mwaka 1998 hadi 2005. Huyu ni mwanachama wa chama cha kisiasa cha Kijerumani cha SPD (Social Democratic Party of Germany).

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2005, akapokewa na Angela Merkel.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gerhard Schröder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.