Nenda kwa yaliyomo

Deutsche Welle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Deutsche Welle
Sauti ya Ujerumani
Nembo la Deutsche Wellt - Sauti ya Ujerumani
Nembo la Deutsche Wellt - Sauti ya Ujerumani
Kutoka mji Bonn - Berlin
Nchi Ujerumani
Eneo la utangazaji Kote duniani
Kituo kilianzishwa mwaka 1953
Mwenye kituo Taasisi ya umma katika Ujerumani
Programu zinazotolewa Idhaa za redio na TV katika lugha mbalimbali
Tovuti www.dw.de
Deutsche Welle, Bonn

Redio Deutsche Welle (DW), au Sauti ya Ujerumani ni kituo cha Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kwa ajili ya matangazo ya nje.

Kituo kimeanzishwa mw. 1953 kilitoa matangazo ya Kijerumani kwa ajili ya Wajerumani kote duniani kwa njia ya SW. Leo (2005) kituo hutangaza kwa redio za SM na FM kwa lugha 30 halafu kwa TV kwa lugha 4. Makao makuu ndipo Köln; ofisi za DW-TV ziko Bonn na Berlin.

Kwa www.dw-world.de ratiba na matangazo hupatikana pia katika mtandao.

Ukurasa wa matangazo ya Kiswahili upo Sauti ya Ujerumani Archived 16 Desemba 2005 at the Wayback Machine..

Wikimedia Commons ina media kuhusu: