Willy Brandt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Willy Brandt (1980)

Willy Brandt (18 Desemba 1913 - 8 Oktoba 1992) alizaliwa na jina la Herbert Ernst Karl Frahm mjini Lübeck, Ujerumani. Alikuwa Chansela wa Ujerumani kuanzia 1969 hadi 1974. Alikuwa kiongozi wa chama cha Chama cha Kijamii-Demokrasia cha Ujerumani (Social Democratic Party of Germany) miaka 1964 – 1987. Mwaka wa 1971 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Willy Brandt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.