Nenda kwa yaliyomo

Helmut Kohl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Helmut Kohl kunako mwaka wa 1987.

Helmut Josef Michael Kohl (Ludwigshafen am Rhein, 3 Aprili 1930 - 16 Juni 2017) alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Ujerumani akitokea katika chama cha CDU.

Kuanzia mwaka 1969 hadi 1976, alikuwa Waziri-Rais wa jimbo la Rhineland-Palatinate na kuanzia mwaka 1982 hadi 1998, alipata kuwa Chansela wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.

Kohl alisaidia mpango mzima wa kurudisha umoja wa Ujerumani na kushiriki vilivyo katika suala zima la muungano wa nchi za Ulaya.

Pia anafahamika kwa kujihusisha na masuala ya kuchangia cha (CDU), kupiga vita ukiukaji wa sheria katika vyama.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Helmut Kohl kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.