Uchaguzi mkuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi mkuu ni ule unaofanyika kuchagua kwa kura wote au walau wengi sana kati ya wajumbe wa kundi fulani, hasa bunge la nchi. Uchaguzi wa namna hiyo kwa kawaida unafanyika kila baada ya muda fulani, tofauti na uchaguzi mdogo ambapo anachaguliwa mmoja au wachache kutokana na dharura iliyotokea[1].

Reflist[hariri | hariri chanzo]

  1. "What is a general election?". April 7, 2015 – kutoka www.bbc.co.uk.  Check date values in: |date= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchaguzi mkuu kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.