Babatunde Olatunji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Babatunde Olatunji
Amezaliwa (1927-04-07)Aprili 7, 1927
Asili yake Ajido, Lagos, Nigeria
Amekufa Aprili 6, 2003 (umri 75)
Ala Ngoma, tumba, djembe
Tovuti olatunjimusic.com
Babatunde Olatunji, wa pili kutoka kulia kwenye Sherehe ya Kimatai ya Tal Vadya Utsav ya Upigaji Ngoma na Tumba iliyofanyika katika Ukumbi wa Siri Fort Auditorium, New Delhi, mnamo 1985

Babatunde Olatunji (April 7, 1927 – April 6, 2003) alikuwa mpiga ngoma, mwalimu, mwanaharakati wa jamii mwenye asili ya Kinigeria. Olatunji alizaliwa katika kijiji cha Ajido, mji mdogo uliokaribu na Badagry, Lagos, mjini kusini magharibi mwa East midlands. Ana asili ya Wayoruba, Olatunji alianza kutambulishwa katika muziki wa asili ya Afrika akiwa katika umri mdogo kabisa. Alisoma habari za ufadhili wa kimasomo katika jarida la "Reader's Digest kuhusu Rotary International Foundation, kisha kuomba. Alienda Marekani mnamo mwaka wa 1950.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albumu[hariri | hariri chanzo]

 • Drums of Passion (Columbia, 1959)
 • Zungo! (1961)
 • Flaming Drums (1962, Columbia Records CS8666)
 • Olatunji
 • Drums!, Drums!, Drums! (Roulette, 1964)
 • Soul Makossa (1973, Paramount, EP)
 • Dance to the Beat of My Drum (1986, Bellaphon)
 • Drums of Passion: The Invocation (1988, Rykodisc)
 • Drums of Passion: The Beat (1989, Rykodisc)
 • Drums of Passion: Celebrate Freedom, Justice & Peace (1993, Olatunji Music)
 • Drums of Passion and More (1994, Bear Family) Box Set
 • Babatunde Olatunji, Healing Rhythms, Songs and Chants (1995, Olatunji Music)
 • Love Drum Talk (1997, Chesky)
 • Drums of Passion [Expanded] (2002)
 • Olatunji Live at Starwood (2003) Recorded Live at the Starwood Festival 1997
 • Healing Session (2003, Narada)
 • Circle of Drums (2005, Chesky)

Videografia[hariri | hariri chanzo]

 • Olatunji and His Drums of Passion (Video) (1986 Video Arts International) Recorded Live at Oakland Colisium 12/31/85
 • Love Drum Talk (Video) (1998, CHE, TMS, Chesky)
 • African Drumming (Instructional video) (2004, Interworld)
 • Olatunji Live at Starwood (DVD) (2005, ACE) Recorded Live at the Starwood Festival 1997

Michango[hariri | hariri chanzo]

Bibliografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • Reference to Starwood Festival appearance in poet Ray McNiece bio [1] Archived Oktoba 9, 2013 at the Wayback Machine.
 • Referred to in Bob Dylan's "I Shall Be Free" from the album The Freewheelin' Bob Dylan (1963)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]