1853
Jump to navigation
Jump to search
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1820 |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850
| Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| ►
◄◄ |
◄ |
1849 |
1850 |
1851 |
1852 |
1853
| 1854
| 1855
| 1856
| 1857
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1853 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 2022 MMXXII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5782 – 5783 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2775 |
Kalenda ya Ethiopia | 2014 – 2015 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1471 ԹՎ ՌՆՀԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1444 – 1445 |
Kalenda ya Kiajemi | 1400 – 1401 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2077 – 2078 |
- Shaka Samvat | 1944 – 1945 |
- Kali Yuga | 5123 – 5124 |
Kalenda ya Kichina | 4718 – 4719 辛丑 – 壬寅 |
- 30 Machi - Vincent van Gogh, mchoraji kutoka Uholanzi
- 28 Mei - Carl Larsson, mchoraji kutoka Uswidi
- 18 Julai - Hendrik Antoon Lorentz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902)
- 2 Septemba - Wilhelm Ostwald (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1909)
- 16 Septemba - Albrecht Kossel (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1910)
- 21 Septemba - Heike Kamerlingh Onnes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1913)
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 18 Aprili - William Rufus de Vane King, Kaimu Rais wa Marekani (1853)
- 12 Juni - Mtakatifu Gaspare Bertoni, padri mwanzilishi kutoka Italia
Wikimedia Commons ina media kuhusu: