Mwongozaji wa filamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwongozaji wa filamu, upande wa kulia, akitoa maelekezo kwa washiriki, wakati uigizaji wa filamu za kimira katika maeneo ya mjini London.

Mwongozaji wa filamu ni mtu anayetoa msaada wa kuongoza pindi mtu anapoigiza filamu. Wanaangalia vitu vya kisanii visiende kombo. Wanatoa maelekezo kwa waigizaji na kuongoza watu katika uigizaji wa filamu.

Mwongozaji wa filamu yeye ndiyo anayochukua jukumu zima wa wanachama wanaofnya kazi ya uigizaji (waigizaji, watayrishaji, na kadharika). Kwa mfano, mtu yule ambaye anashughulika na taa anamwambia mtindo gani unaotakiwa taa imulikwe pindi yeye anapotoa maelekezo kwa waigizaji.

Ni kawaida sana kwa waongozaji wa filamu kufanya kazi pamoja na mtayarishaji wa filamu. Mtayarishaji wa filamu ni mtu asiyehusika na upande wa kisanii wakati wa utengenezaji wa filamu. Kwa mfano, wao ndiyo wanaoshikiria fedha zote ambazo zinatumika kwa ajili ya utengenezaji wa filamu.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwongozaji wa filamu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.