1 Aprili
Jump to navigation
Jump to search
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 1 Aprili ni siku ya 91 ya mwaka (ya 92 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 274.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1605 - Uchaguzi wa Papa Leo XI
- 1979 - Nchi ya Iran inatangazwa kuwa Jamhuri ya Kiislamu
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1220 - Go-Saga, mfalme mkuu wa Japani (1242-1246)
- 1430 - Mehmed II, Sultani wa Milki ya Osmani
- 1815 - Otto von Bismarck, Chansella wa Dola la Ujerumani (1862-1890)
- 1865 - Richard Zsigmondy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1925
- 1873 - Sergei Rachmaninoff, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1919 - Joseph Murray, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1990
- 1920 - Toshiro Mifune, mwigizaji wa filamu kutoka Japani
- 1933 - Claude Cohen-Tannoudji, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997
- 1940 - Wangari Maathai, mwanasiasa kutoka Kenya na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2004
- 1948 - Jimmy Cliff, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 1970 - Method Man, mwanamuziki wa Marekani
- 1973 - Christian Finnegan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1981 - Dan Mintz, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 304 - Mtakatifu Papa Marcellino
- 1933 - Charles Andler, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1968 - Lev Landau, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1962
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Melito wa Sardi, askofu na ya mtakatifu Maria wa Misri, mmonaki
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
| Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |