Zanzibar (maana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Zanzibar)
Jump to navigation Jump to search

Zanzibar ni neno linalotaja

  • kijiografia Funguvisiwa la Zanzibar kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki hasa visiwa vikubwa vya Unguja na Pemba pamoja na visiwa vidogovidogo
  • nje ya Tanzania kisiwa cha Unguja mara nyingi huitwa "Zanzibar"
  • kisiasa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo eneo lake ni sawa na funguvisiwa ikiwa ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya Tanzania
  • kihistoria Usultani wa Zanzibar iliyoanzishwa baada ya kifo cha Sultani Sayyid Said na kugawiwa kwa Usultani ya Omani mwaka 1856 wakati mwanaye Sayyid Majid alipokuwa sultani wa kwanza wa Zanzibar akitawala funguvisiwa ya Zanzibar pamoja na pwani la Afrika ya Mashariki kati ya Mogadishu (leo mji mkuu wa Somalia) na Rasi ya Delgado (leo Msumbiji ya Kaskazini karibu na mto wa Ruvuma).
  • Jiji la Zanzibar ambalo ni mji mkubwa wa Unguja na mji mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
  • jina la filamu, vitabu, hoteli n.k. zilizotajwa kufuatana na neno lenyewe kama vile Jamhuri ya Zanzibar, funguvisiwa la Zanzibar, jiji la Zanzibar n.k.
Disambig.svg
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.