Rasi Delgado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Rasi Delgado katika Msumbiji

Rasi Delgado (Kireno: Cabo Delgado) ni rasi mwambaoni wa Bahari Hindi iliyoko kaskazini kabisa kwenye pwani la Msumbiji.

Rasi Delgado iko takriban 40 km kusini ya mji Mtwara wa Tanzania. Mji mdogo wa Quionga uko rasini.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kufukuzwa kwa Ureno katika miji ya Uswahilini wakati wa karne ya 17 Rasi Delgado ilikuwa mpaka wa kaskazini wa maeneo yaliyobaki chini ya athira ya Ureno katika Afrika ya Mashariki.