Unguja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ramani ya Unguja

Unguja ni kisiwa kikubwa katika Bahari Hindi karibu na mwambao wa Afrika ya Mashariki karibu na Dar es salaam.

Unguja ni kisiwa kikuu cha funguvisiwa vya Zanzibar ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Unguja ina eneo la takriban km² 1.658 ikiwa na wakazi 460 000.

Mji mkuu ni Jiji la Zanzibar kwenye pwani ya magharibi mkabala wa bara.

Kisiwani Unguja kuna mitatu kati ya mikoa 30 ya Tanzania ambayo ni Unguja Kaskazini, Unguja Kusini na Unguja Mjini Magharibi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


 
Mikoa ya Tanzania
Bandera Tanzania
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Songwe | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi

{{mbegu-jio-Unguja}