Mkoa wa Geita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mkoa wa Geita
Nembo ya Tanzania
Nembo ya Tanzania
Mahali pa Mikoa ya Geita na Mwanza katika Tanzania kabla ya umegaji
Mahali pa Mikoa ya Geita na Mwanza katika Tanzania kabla ya umegaji
Nchi Tanzania
Wilaya
Mji mkuu Geita
Serikali
 - Mkuu wa Mkoa

Mkoa wa Geita ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Umepakana na Kagera upande wa magharibi, Shinyanga upande wa kusini na Mwanza upande wa mashariki. Ziwa la Viktoria Nyanza liko kaskazini.

Makao makuu ya mkoa yapo Geita mjini.

Kabla ya kuanzishwa mkoa mpya wa Geita, ulikuwa sehemu ya mkoa wa Mwanza ambao ulikuwa na wakazi 2,942,148 (sensa ya mwaka 2002) katika wilaya 8 ukiwa na eneo la 19,592 km2. Mkoa wa Geita ilikairiwa kuwa na wakazi 1,882,141 mnamo mwaka 2015.[1]

Wilaya[hariri | hariri chanzo]

Wilaya za mkoa huo mpya ndizo Bukombe, Chato, Geita, Mbongwe na Nyang'hwale.

Wakazi[hariri | hariri chanzo]

Makabila makubwa katika mkoa ndio Wasukuma, Wasumbwa, Walongo na Wazinza.

Majimbo ya bunge[hariri | hariri chanzo]

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 17 Population Distribution and Average Annual Intercensal Growth Rate by Region, Tanzania, Tanzania in Figures, tovuti ya Tanzania National Bureau of Statistics, iliangaliwa Septemba 2017

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Mikoa ya Tanzania
Bandera Tanzania
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Songwe | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi