Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Songwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Songwe
Mahali paMkoa wa Songwe
Mahali paMkoa wa Songwe
Majiranukta: 2°45′S 32°45′E / 2.750°S 32.750°E / -2.750; 32.750
Nchi Tanzania
Wilaya
Mji mkuu Vwawa
Serikali
 - Mkuu wa Mkoa
Eneo
 - Jumla 26,595 km²
 - Kavu 25,534 km² 
 - Maji 1,061 km² 
Idadi ya wakazi (2022)
 - Wakazi kwa ujumla 1,344,687 [1].
Tovuti:  http://www.songwe.go.tz/

Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Umemegwa kutoka ule wa Mbeya mwaka 2016.[2] Jina limetokana na lile la mto Songwe. Eneo lake ni la km2 27,656 na linapakana na Zambia na Malawi upande wa kusini. Tunduma ndio mlango mkuu wa kuingia Zambia na Isongole ni vilevile kwa Malawi. Mikoa ya jirani ni Rukwa na Katavi upande wa magharibi, Tabora upande wa kaskazini, na Mbeya upande wa mashariki. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 1,035,214 [3]. Makao makuu yako Vwawa.

Msimbo wa posta ni namba 54100.

Mkoa huu una halmashauri za[4]:8:

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Uchapishaji wa orodha ya Postikodi". Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-07-29.
  3. https://www.nbs.go.tz
  4. Mwangela, Nicodemas E. (2019). "SONGWE REGION INVESTMENT GUIDE" (PDF). United Nations Development Programme (UNDP) (kwa Kiingereza). Mkoa wa Songwe. ISBN 978-9987-664-01-6. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-06-21. {{cite journal}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Songwe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Songwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno