Mkoa wa Pemba Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba)
Mahali pa Pemba Kaskazini katika Tanzania

Mkoa wa Pemba Kaskazini ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 75000 [1]. Uko katika sehemu ya kaskazini ya Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Zanzibar katika Muungano wa Tanzania.

Makao makuu ya mkoa yako wilayani Wete.

Mkoa una wilaya mbili tu, Wete na Micheweni.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Pemba Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.


  1. https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mkoa_wa_Pemba_Kaskazini&action=edit