Wilaya ya Wete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Wete katika mkoa wa Pemba Kaskazini.

Wilaya ya Wete ni jina la wilaya iliyopo katika Mkoa wa Pemba Kaskazini yenye postikodi namba 75100[1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa ni 107,916. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Wete kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Wete - Mkoa wa Pemba Kaskazini - Tanzania Flag of Zanzibar.svg

Bopwe * Chwale * Fundo * Gando * Jadida * Junguni * Kambini * Kangagani * Kinyikani * Kipangani * Kisiwani * Kiungoni * Kiuyu Kigongoni * Kiuyu Minungwini * Kizimbani * Kojani * Limbani * Maziwani * Mchanga Mdogo * Mjini Ole * Mpambani * Mtambwe Kaskazini * Mtambwe Kusini * Mzambarauni Takao * Ole * Pandani * Pembeni * Piki * Selem * Shengejuu * Ukunjwi * Utaani