Muungano
Muungano, mbali ya tendo la kuunganika, inaweza kumaanisha
- Muungano (Chato) - kata ya Wilaya ya Chato - Mkoa wa Geita - Tanzania
- Muungano (Dodoma vijijini) - kata ya Wilaya ya Dodoma vijijini - Mkoa wa Dodoma - Tanzania
- Muungano (Momba) - kata ya Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe - Tanzania
- Muungano (Urambo) - kata ya Wilaya ya Urambo - Mkoa wa Tabora - Tanzania
- Muungano (Zanzibar) - kata ya jiji la Zanzibar - Tanzania