Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Kyela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kyela (kijani cheusi) katika mkoa wa Mbeya.

Wilaya ya Kyela ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Mbeya.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 174,470 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 266,426[2].

Makao makuu yapo Kyela Mjini.

Wilaya hiyo ni maarufu kwa kilimo cha kokoa ambayo ndiyo zao la biashara, lakini mpunga na mahindi pia vinalimwa.

  1. "Tanzania.go.tz/census". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2003-12-17.
  2. https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya KyelaMkoa wa Mbeya - Tanzania

Bondeni | Bujonde | Busale | Ibanda | Ikama | Ikimba | Ikolo | Ipande | Ipinda | Ipyana | Itope | Itunge | Kajunjumele | Katumbasongwe | Kyela | Lusungo | Mababu | Makwale | Matema | Mbugani | Mikoroshoni | Muungano | Mwanganyanga | Mwaya | Ndandalo | Ndobo | Ngana | Ngonga | Njisi | Nkokwa | Nkuyu | Serengeti | Talatala


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kyela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.