Talatala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Talatala ni kata ya Wilaya ya Kyela katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,122 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53720.

Talatala inakaliwa na jamii ya wanyakyusa. Wakazi wa Talatala wanajihusisha na kilimocha mpunga kikiwa kama kilimo chao kikuu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Mbeya - Kyela DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2017-03-12.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya KyelaMkoa wa Mbeya - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bujonde | Busale | Ibanda | Ikama | Ikimba | Ikolo | Ipande | Ipinda | Ipyana | Itope | Itunge | Kajunjumele | Katumba Songwe | Kyela Mjini | Lusungo | Mababu | Makwale | Matema | Mbugani | Mikoroshoni | Muungano | Mwanganyanga | Mwaya | Ndandalo | Ndobo | Ngana | Ngonga | Njisi | Nkokwa | Nkuyu | Serengeti | Talatala


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Talatala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.