Kyela Mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mv Songea katika bandari ya Kyela
Kata ya Kyela Mjini
Kata ya Kyela Mjini is located in Tanzania
Kata ya Kyela Mjini
Kata ya Kyela Mjini
Mahali pa Kyela Mjini katika Tanzania
Anwani ya kijiografia: 9°34′48″S 33°51′00″E / 9.58°S 33.85°E / -9.58; 33.85
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Kyela
Idadi ya wakazi
 - 28,926

Kyela ni mji wa Tanzania Kusini-Magharibi uliopo karibu na ncha ya kaskazini ya Ziwa Nyasa. Ni kata ya Kyeka mjini na hivyo makao makuu ya Wilaya ya Kyela katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 28,926 waishio humo. [1]

Mazingira ya Kyela ni marufuku Tanzania kwa mchele mzuri unaolimwa hapa. Miji ni kitovu cha mawasiliano kwa sababu barabara kutoka Mbeya-Tukuyu kwenda Malawi inakutana hapa na barabara ndogo zinazoelekea Matema na milima ya Livingstone. Bandari ya Kyela iko kilomita kadhaa nje ya mji na hapa ni chanzo cha njia za mawasilano kwa maji kwenye Ziwa Nyassa upande wa Tanzania.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya KyelaMkoa wa Mbeya - Tanzania Flag of Tanzania.svg


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kyela Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.