Majadiliano:Wilaya ya Kyela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa majina naitwa Emilyo Kiduge, yah:ombi kwa Kamishina wa Aridhi wilaya ya kyela.[hariri chanzo]

Mimi ni mjasilia mali na ktk uendeshaji wa shughuli zangu najali Muda. Na sambamba na hilo,nilikuwa nauhitaji wa fedha ya mkopo pale bank kwaajili ya kuendeshea shughuli za kibiashara nikakosa udhamini wa mali isiyo hamishika

yenye uhalali na vielelezo vinavyo nihusu;

Sasa basi nilipeleka maombi ya kusajili kipande cha alidhi wakakikagua na kupima vipimo vyote kadri inavyo takiwa na kuidhiniswa na wajumbe wa kijiji husika ilipo ardhi, Sasa baada ya kuirudisha hapo kwenye Ofisi ya Ardhi KYELA niliambiwa niende nyumbani, kwakuwa kamishina wa Ardhi hayupo, sasa namaliza mwezi mmoja na nusu,kila nikipiga simu naambiwa niendelee kusubiri bado hajafika mtu wa kusaini, Mimi ni mmoja ya wakazi wa wilaya hii na ni mmoja kati ya watu wanaokumbana na hili tatizo, kwenye ofisi yetu ya aridhi, jamani chonde chonde mtusaidie huyo kamishina atuhudumie,na kama hayupo basi niwakumbushe wakubwa wetu nikianza na MKUU WA WILAYA YA KYELA NA MKURUGENZI, mfahamu kuna tatizo hili la kukosekana kwa huyo mtendaji wa ofisi ya aridhi. kwakuwa kama mjasilia mali imenipotezea malengo ya muda niliokuwa nakusudia kufanya uboreshaji wa biashara kupitia bank,kwakuto saidiwa na watu wa ardhi kwa wakati.

     Ni hayo tuu wenu ktk ujenzi wa taifa letu.