Wilaya ya Urambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Urambo (kijani cheusi) katika mkoa wa Tabora kabla ya kumegwa.

Wilaya ya Urambo ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Tabora yenye postikodi namba 455.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 370,796 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 260,322 [2] baada ya maeneo ya magharibi kukatwa ili kuunda wilaya ya Kaliua.

Sehemu hii ilikuwa kiini cha utemi wa Urambo ambako mtemi Mirambo alijenga milki yake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Urambo - Mkoa wa Tabora - Tanzania

Imalamakoye | Itundu | Kapilula | Kasisi | Kiloleni | Kiyungi | Mchikichini | Muungano | Nsenda | Songambele | Ugalla | Ukondamoyo | Urambo | Usisya | Ussoke | Uyogo | Uyumbu | Vumilia


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Urambo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.