Newala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Newala)
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Newala (kijani) katika mkoa wa Mtwara.

Wilaya ya Newala ni moja ya wilaya za Mkoa wa Mtwara. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 205,492 [1] .

Wilaya hii imepakana na Wilaya ya Masasi upande wa magharibi na kaskazini, wilaya ya Tandahimba upande wa mashariki na kaskazini, mto Ruvuma na Msumbiji kwa kusini. Newala imepakana kwa karibu kabisa na nchi ya Msumbiji ambapo mto Ruvuma ndio unaotenganisha wilaya ya Newala na nchi ya Msumbiji.

Wakazi walio wengi ni Wamakonde, pamoja na Wayao.

Idadi kubwa ya wakazi wa wilaya ya Newala ni wakulima na zao kuu la biashara ni korosho.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Newala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Newala - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chihangu | Chilangalanga | Chitekete | Chiwonga | Kitangari | Luchingu | Makonga | Makote | Makukwe | Malatu | Maputi | Mchemo | Mcholi I | Mcholi II | Mdimbampelempele | Mkoma II | Mkunya | Mkwedu | Mnekachi | Mnyambe | Mtonya (Newala) | Mtopwa | Mtunguru | Nakahako | Nambali | Namiyonga | Nandwahi | Nanguruwe