Wilaya ya Micheweni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Micheweni katika mkoa wa Pemba Kaskazini.

Wilaya ya Micheweni ni wilaya iliyopo katika Mkoa wa Pemba Kaskazini yenye postikodi namba 75200.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa ni 103,816.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya mwaka 2012, Mkoa wa Pemba Kaskazini - Micheweni. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-03-29. Iliwekwa mnamo 2018-03-23.
Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Micheweni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Micheweni - Mkoa wa Pemba Kaskazini - Tanzania Flag of Zanzibar.svg

Chimba | Finya | Kifundi | Kinowe | Kinyasini | Kiuyu Mbuyuni | Konde Pemba | Majenzi | Makangale | Maziwa Ng'ombe | Mgogoni | Micheweni | Mihogoni | Mjini Wingwi | Mlindo | Msuka Magharibi | Msuka Mashariki | Mtemani | Shumba Mjini | Shumba Viamboni | Sizini | Tondooni | Tumbe Magharibi | Tumbe Mashariki | Wingwi Mapofu | Wingwi Mjananza | Wingwi Njuguni