Nenda kwa yaliyomo

Wingwi Njuguni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Wingwi Njuguni
Nchi Tanzania
Mkoa Pemba Kaskazini
Wilaya Micheweni
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 3,518

Wingwi Njuguni ni kata ya Wilaya ya Micheweni katika Mkoa wa Pemba Kaskazini, Tanzania.

Inaundwa na vijiji vidogovidogo kama vile Kidodi, Kitaalani, Jambonia n.k.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 3,518 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,951 waishio humo. [2]

  1. https://www.nbs.go.tz, uk. 252
  2. "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-26.
Kata za Wilaya ya Micheweni - Mkoa wa Pemba Kaskazini - Tanzania

Chamboni | Chimba | Kifundi | Kinowe | Kipange | Kiuyu Mbuyuni | Konde | Majenzi | Makangale | Maziwa Ng'ombe | Micheweni | Mihogoni | Mjini Wingwi | Msuka Magharibi | Msuka Mashariki | Mtemani | Shanake | Shumba Mjini | Shumba Viamboni | Sizini | Tondooni | Tumbe Magharibi | Tumbe Mashariki | Wingwi Mapofu | Wingwi Njuguni


Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wingwi Njuguni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.