Wilaya za Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Tazama makala ya majaribio Wilaya za Tanzania 2 kwa mpangilio wa mikoa na wilaya mnamo 2012, pia makala ya Wilaya za Tanzania 3 kuhusu majina maalumu ya kata kadhaa. Wilaya za Tanzania 4 ina maandalizi ya vigezo vipya. Majina ya kata zote zimo!

Wilaya za Tanzania
Tanzania
Coat of arms of Tanzania.svg

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
TanzaniaZanzibar
Flag of Zanzibar.svg

Nchi zingine Atlasi

Mikoa ya Tanzania imegawanyika katika wilaya zipatazo 127. Wilaya hizo zimeorodheshwa hapo chini kimkoa:

Arusha

Wilaya za Mkoa wa Arusha
Wilaya Wakazi (2012) Eneo km²
Arusha mjini 1,694,310 93 km²
Arusha vijijini 323,198 1,447 km²
Karatu 230,166 3,300 km²
Longido 123,153 7,782 km²
Meru 268,144 1,268 km²
Monduli 158,929 6,419 km²
Ngorongoro 174,278 14,036 km²
Jumla 1,288,088 34,526 km²
Marejeo: Mkoa wa Arusha

Dar es Salaam

Dodoma

Iringa

Kagera

Kigoma

Kilimanjaro

Ramani Wilaya au manisipaa Wakazi (2002) Tarafa Kata Kijiji Eneo km²
Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro
Wilaya ya Hai 259,958 3 10 55
Wilaya ya Moshi Vijijini 402,431 4 31 145
Wilaya ya Moshi Mjini 144,739 -
Wilaya ya Mwanga 115,620 6 16 60
Wilaya ya Rombo 246,479 5 20 60
Wilaya ya Same 212,325 6 25 83
Jumla 1,376,702 26 121 433
Mitaa 60
13,209
Wilaya ya Siha hii ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na maeneo ya wilaya ya Hai.
Marejeo: Mkoa wa Kilimanjaro

Lindi

Manyara

Mara

Mbeya

Morogoro

Wilaya za Mkoa wa Morogoro
Ramani Wilaya au manisipaa Wakazi (2002) Tarafa Kata Kijiji Eneo km²
Wilaya za Mkoa wa Morogoro
Wilaya ya Kilombero 321,611 5 19 81 14,918
Wilaya ya Kilosa 489,513 9 37 164 14,245
Wilaya ya Morogoro Vijijini 263,920 6 25 132 11,925
Wilaya ya Morogoro Mjini 227,921 1 19 - 531
Wilaya ya Mvomero 260,525 4 17 101 7,325
Wilaya ya Ulanga 193,280 5 24 65 24,560
Jumla 1,759,809 30 141 543 73,039
Makisio ya idadi ya watu kwa mwaka 2008 ni watu 2,021,714
kutokana na kiwango cha ongezeko la watu la asilimia 2.6 kwa mwaka.
Marejeo: Mkoa wa Morogoro

Mtwara

Mwanza

Wilaya za Mkoa wa Mwanza
Ramani Wilaya au manisipaa Wakazi (2002) Tarafa Kata Kijiji Eneo km²
Wilaya za Mkoa wa Mwanza
Wilaya ya Geita 712,195
Wilaya ya Ilemela 265,911
Wilaya ya Kwimba 316,180
Wilaya ya Magu 416,113
Wilaya ya Misungwi 257,155
Wilaya ya Nyamagana 210,735
Wilaya ya Sengerema 501,915
Wilaya ya Ukerewe 261,944
Jumla 2,942,148 19,592
Mkoa wa Mwanza una Halmashauri za Wilaya tatu sita ambazo ni Geita, Sengerema, Magu, Misungwi,
Kwimba na Ukerewe na Halmashauri ya Jiji la Mwanza inayohudumia wilaya za Nyamagana na Ilemela.
Marejeo: Mkoa wa Mwanza

Pemba Kaskazini

Pemba Kusini

Pwani

Rukwa

Ruvuma

Shinyanga

Singida

Tabora

Tanga

Wilaya za Mkoa wa Tanga
Ramani Wilaya au manisipaa Wakazi (2002) Tarafa Kata Kijiji Eneo km²
Wilaya za Mkoa wa Tanga
Wilaya ya Handeni 393,931 13 23 102 13,209
Wilaya ya Korogwe 261,004 4 20 132 3,756
Wilaya ya Lushoto 419,970 8 32 137 3,500
Wilaya ya Muheza 279,423 6 27 140 4,922
Wilaya ya Pangani 44,107 4 13 23 1,425
Tanga mjini 243,580 4 21 23 536
Jumla 1,642,015 37 136 557 27,348
Wilaya ya Handeni imegawanywa kuwa wilaya mbili za Handeni na Kilindi;
Muheza iligawiwa kuwa wilaya mbili za Muheza na Mkinga
Marejeo: Mkoa wa Tanga

Zanzibar Kati/Kusini

Zanzibar Mjini Kaskazini

Zanzibar Mjini Magharibi

Tazama pia

Viungo vya nje