Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Njombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Njombe Vijijini)
Mahali pa Wilaya ya Njombe (kijani cheusi) katika mkoa wa Iringa kabla ya umegaji wa mkoa na wa wilaya.

Wilaya ya Njombe ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Njombe.

Maeneo ya wilaya ya Njombe ya awali yaligawiwa kwa wilaya tatu:

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi waliobaki katika eneo la sasa walihesabiwa 109,311 [2].

Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa Wabena.

Kata za Wilaya ya Njombe Vijijini - Mkoa wa Njombe - Tanzania

Idamba | Igongolo | Ikondo | Ikuna | Kichiwa | Kidegembye | Lupembe | Matembwe | Mfriga | Mtwango | Ninga | Ukalawa


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Njombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.