Wilaya ya Mpanda Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wilaya ya Mpanda Vijijini ilikuwa eneo la kiutawala kwenye Mkoa wa Rukwa ambalo tangu mwaka 2012 ni eneo la mkoa wa Katavi ikabadilishwa jina kuwa Wilaya ya Tanganyika.