Wilaya za Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Kenya
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Nchini Kenya kulikuwa na wilaya zifuatazo 71 zilizogawiwa katika tarafa 262. Makao makuu ya kila wilaya hutajwa katika mabano. Kuundwa kwa wilaya 30 za nyongeza imetangazwa mwaka 2006 lakini kulifutwa na katiba mpya ya mwaka 2010.

Wilaya ya Baringo (Kabarnet)[hariri | hariri chanzo]

 • Kabarnet
 • Kabartonjo
 • Marigat
 • Mochongoi
 • Mogotio
 • Nginyang
 • Ravine
 • Tenges

Wilaya ya Bomet (Bomet)[hariri | hariri chanzo]

 • Bomet
 • Chepalungu
 • Konoin

Wilaya ya Bondo (Bondo)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Bungoma (Bungoma)[hariri | hariri chanzo]

 • Cheptaisi
 • Kanduyi
 • Kapsokwony
 • Kimilili
 • Mt.elgon Forest
 • Sirisia
 • Tongareni
 • Webuye

Wilaya ya Buret (Litein)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Busia (Busia)[hariri | hariri chanzo]

 • Amagoro
 • Amukura
 • Budalangi
 • Butula
 • Funyula
 • Nambale

Wilaya ya Butere/Mumias (Butere)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Embu (Embu)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Garissa (Garissa)[hariri | hariri chanzo]

 • Bura
 • Garissa
 • Dadaab
 • Hulugho
 • Jarajila
 • Liboi
 • Masalani
 • Mbalambala
 • Modogashe

Wilaya ya Gucha (Ogembo)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Homa Bay (Homa Bay)[hariri | hariri chanzo]

 • Kendu Bay
 • Mbita
 • Ndhiwa
 • Oyugis
 • Rangwe

Wilaya ya Ijara (Ijara)[hariri | hariri chanzo]

 • Hulugho
 • Ijara
 • Masalani
 • Sangailu

Wilaya ya Isiolo (Isiolo)[hariri | hariri chanzo]

 • Central Isiolo
 • Garba Tulla
 • Merti
 • Sericho

Wilaya ya Kajiado (Kajiado)[hariri | hariri chanzo]

 • Central Kajiado
 • Loitokitok
 • Magadi
 • Ngong

Wilaya ya Kakamega (Kakamega)[hariri | hariri chanzo]

 • Butere
 • Ikolomani
 • Khwisero
 • Lugari
 • Lurambi
 • Malava/kabras
 • Mumias
 • Shinyalu

Wilaya ya Keiyo (Iten/Tambach)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Kericho (Kericho)[hariri | hariri chanzo]

 • Belgut
 • Buret
 • Kipkelion
 • Londiani

Wilaya ya Kiambu (Kiambu)[hariri | hariri chanzo]

 • Gatundu
 • Githunguri
 • Kiambaa
 • Kikuyu
 • Lari
 • Limuru
 • Thika

Wilaya ya Kilifi (Kilifi)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Kirinyaga (Kerugoya/Kutus)[hariri | hariri chanzo]

 • Gichugu
 • Mount Kenya
 • Mwea
 • Ndia

Wilaya ya Kisii Kati (Kisii)[hariri | hariri chanzo]

 • Bosongo
 • Irianyi
 • Kisii Municipality
 • Marani
 • Masaba
 • Nyamache
 • Ogembo
 • Suneka

Wilaya ya Kisumu (Kisumu)[hariri | hariri chanzo]

 • Lower Nyakach
 • Maseno
 • Muhoroni
 • Nyando
 • Upper Nyakach
 • Winam

Wilaya ya Kitui (Kitui)[hariri | hariri chanzo]

 • Central Kitui
 • Kwa-vonza
 • Kyuso
 • Mutito
 • Mutomo
 • Mwingi

Wilaya ya Koibatek (Eldama Ravine)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Kuria (Kehancha)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Kwale (Kwale)[hariri | hariri chanzo]

 • Kinango
 • Kubo
 • Matuga
 • Matuga
 • Msambweni

Wilaya ya Laikipia (Nanyuki)[hariri | hariri chanzo]

 • Cetral Laikipia
 • Mukogondo
 • Ng'arua
 • Rumuruti

Wilaya ya Lamu (Lamu)[hariri | hariri chanzo]

 • Amu
 • Faza
 • Kiunga
 • Mpeketoni
 • Witu

Wilaya ya Lugari (Lugari)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Machakos (Machakos)[hariri | hariri chanzo]

 • Central Machakos
 • Kangundo
 • Kathiani
 • Masinga
 • Mwala
 • Yatta

Wilaya ya Makueni (Makueni)[hariri | hariri chanzo]

 • Kibwezi
 • Kilome
 • Makueni
 • Mbooni
 • Tsavo West National Park

Wilaya ya Malindi (Malindi)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Mandera (Mandera)[hariri | hariri chanzo]

 • Banissa
 • Central Mandera
 • Elwak
 • Fino
 • Rhamu
 • Tabaka

Wilaya ya Maragua (Maragua)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Marakwet Kapsowar)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Marsabit (Marsabit)[hariri | hariri chanzo]

 • Central Marsabit
 • Laisamis
 • Loiyangalani
 • Moyale
 • North Horr
 • Sololo

Wilaya ya Mbeere (Mbeere)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Meru Kati (Meru)[hariri | hariri chanzo]

 • Central Imenti
 • Igembe
 • Meru National Park
 • Mount Kenya Forest
 • North Imenti
 • Ntonyiri
 • South Imenti
 • Tigania
 • Timau

Wilaya ya Meru Kaskazini (Maua)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Meru Kusini (Chuka)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Migori (Migori)[hariri | hariri chanzo]

 • Kehancha
 • Migori
 • Nyatike
 • Rongo

Wilaya ya Mombasa (Mombasa)[hariri | hariri chanzo]

 • Changamwe
 • Kisauni
 • Likoni

Wilaya ya Mount Elgon (Mount Elgon)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Moyale (Moyale)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Murang'a (Murang'a)[hariri | hariri chanzo]

 • Gatanga
 • Kandara
 • Kangema
 • Kigumo
 • Kiharu
 • Makuyu

Wilaya ya Mwingi (Mwingi)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Nairobi (Nairobi)[hariri | hariri chanzo]

 • Central Nairobi
 • Dagoretti
 • Embakasi
 • Kasarani
 • Kibera
 • Makadara
 • Westlands
 • Pumwani

Wilaya ya Nakuru (Nakuru)[hariri | hariri chanzo]

 • Bahati
 • Gilgil
 • Mbogoini
 • Molo
 • Naivasha
 • Municipality_nakuru
 • Njoro
 • Olenguruone
 • Rongai

Wilaya ya Nandi (Kapsabet)[hariri | hariri chanzo]

 • Aldai
 • Kapsabet
 • Kilibwoni
 • Mosop
 • Tindiret

Wilaya ya Narok (Narok)[hariri | hariri chanzo]

 • Kilgoris
 • Lolgorian
 • Mau
 • Olokurto
 • Osupuko

Wilaya ya Nyamira (Nyamira)[hariri | hariri chanzo]

 • Borabu
 • Ekerenyo
 • Magombo
 • Nyamira

Wilaya ya Nyandarua (Ol Kalou)[hariri | hariri chanzo]

 • Kinangop
 • Kipipiri
 • Ndaragwa
 • Ol Joro Orok
 • Ol-kalou

Wilaya ya Nyando (Awasi)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Nyeri (Nyeri)[hariri | hariri chanzo]

 • Aberdare Forest/National Park
 • Kieni East
 • Kieni West
 • Mathira
 • Mount Kenya Forest/National Park
 • Mukurweini
 • Nyeri Municipality
 • Othaya
 • Tetu

Wilaya ya Rachuonyo (Oyugis)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Samburu (Maralal)[hariri | hariri chanzo]

 • Baragoi
 • Lorroki
 • Wamba
 • Waso

Wilaya ya Siaya (Siaya)[hariri | hariri chanzo]

 • Bondo
 • Boro
 • Rarieda
 • Ugunja
 • Ukwala
 • Yala

Wilaya ya Suba (Mbita)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Taita-Taveta (Voi)[hariri | hariri chanzo]

 • Mwatate
 • Taveta
 • Tsavo East National Park
 • Tsavo West National Park
 • Voi
 • Wundanyi

Wilaya ya Tana River (Tana River)[hariri | hariri chanzo]

 • Bura
 • Galole
 • Garsen
 • Madogo

Wilaya ya Teso (Malaba)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Tharaka (Tharaka)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Thika (Thika)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Trans Mara (Kilgoris)[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Trans Nzoia (Kitale)[hariri | hariri chanzo]

 • Cherangani
 • Kwanza
 • Saboti

Wilaya ya Turkana (Lodwar)[hariri | hariri chanzo]

 • Central(kalokol)
 • Kakuma
 • Katilu
 • Kibish
 • Lake Turkana
 • Lokitaung
 • Lokori
 • Turkwel

Wilaya ya Uasin Gishu (Eldoret)[hariri | hariri chanzo]

 • Ainabkoi
 • Kesses
 • Moiben
 • Soy

Wilaya ya Vihiga (Vihiga)[hariri | hariri chanzo]

 • Emuhaya
 • Hamisi
 • Sabatia
 • Vihiga

Wilaya ya Wajir (Wajir)[hariri | hariri chanzo]

 • Buna
 • Bute
 • Central Wajir
 • Griftu
 • Habaswein
 • Wajir-bor

Wilaya ya West Pokot (Kapenguria)[hariri | hariri chanzo]

 • Alale
 • Chepareria
 • Kacheliba
 • Kapenguria
 • Sigor

Tarafa hizi ziligawiwa katika 1,088 "locations" (mitaa) halafu "sublocations" (vijiji).