Wilaya ya Bungoma
Mandhari
Wilaya ya Bungoma | |
Mahali pa Wilaya ya Bungoma katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Bungoma |
Eneo | |
- Jumla | 2,206.9 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,375,063 |
Wilaya ya Bungoma ilikuwa mojawapo ya wilaya za Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya hadi mwaka 2010.
Makao makuu yalikuwa Bungoma mjini.
Kwa sasa imekuwa Kaunti ya Bungoma.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bungoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |