Wilaya ya Mbeere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Usimbishaji kwenye lambo la Masinga.

Wilaya ya Mbeere ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya tangu mwaka 1996 hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Siakago.

Kwa sasa imekuwa tena sehemu ya kaunti ya Embu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mbeere kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.