Wilaya ya Mombasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wilaya ya Mombasa
Mahali pa Wilaya ya Mombasa katika Kenya
Mahali pa Wilaya ya Mombasa katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Mombasa
Eneo
 - Wilaya 295 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 939,370

Wilaya ya Mombasa ilikuwa wilaya ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya.

Makao makuu yake ilikuwa Mombasa mjini.

Baada ya katiba mpya kupatikana, imekuwa kaunti ya Mombasa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mombasa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.