Wilaya ya Lamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Wilaya ya Lamu
Nembo ya Kenya
Nembo ya Kenya
Mahali pa Wilaya ya Lamu katika Kenya
Mahali pa Wilaya ya Lamu katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Lamu
Eneo
 - Wilaya 6,497.7 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 101,539

Wilaya ya Lamu ni wilaya moja ya Mkoa wa Pwani nchini Kenya. Makao makuu yako Lamu mjini. Eneo la wilaya ni kanda la ardhi ya Kenya bara kusini ya mpaka wa Somalia pamoja na funguvisiwa ya Lamu. Eneo la wilaya ni 6,167 km² na idadi ya wakazi ni 72,686. [1].

Wenyeji ni hasa Wabanjuni. Kuna misitu ya mikoko ufukoni.

Wilaya inachagua wabunge wawili wa Lamu Mashariki na Lamu magharibi.

Tarafa za utawala
Tarafa Wakazi wote* Wakazi wa mjini* Makao makuu
Amu 17,310 12,839 Lamu
Faza 7,474 0 Faza
Hindi 7,072 1,335
Kiunga 3,310 0 Kiunga
Kizingitini 6,010 0 Kizingitini
Mpeketoni 25,530 773 Mpeketoni
Witu 5,980 1,322 Witu
Total 72,686 16,269 -
* 1999 census. Sources: [2], [3],

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Lamu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.