Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Meru Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Wilaya ya Meru Kaskazini
Mahali paWilaya ya Meru Kaskazini
Mahali paWilaya ya Meru Kaskazini
Mahali pa Wilaya ya Meru Kaskazini katika Kenya
Nchi Kenya
Mkoa Mashariki
Mji mkuu Maua
Eneo
 - Jumla 3,942 km²
Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 604,050

Wilaya ya Meru Kaskazini ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Maua.

Kwa sasa imekuwa tena sehemu ya kaunti ya Meru.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Meru Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.