Nenda kwa yaliyomo

Kiambu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Kiambu, Kenya.
Maporomoko kumi na manne ya Kiambu.
Mmoja wa wafanyabiashara wa soko la Kiambu.

Kiambu ni mji wa Kenya ya Kati, makao makuu ya kaunti ya Kiambu.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 88,869[1].

  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.