Nenda kwa yaliyomo

Kaunti ya Wajir

Majiranukta: 1°44′50″N 40°04′08″E / 1.74722°N 40.0689°E / 1.74722; 40.0689
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaunti ya Wajir
Kaunti
Kaulimbiu: ""

Kaunti ya Wajir katika Kenya
Coordinates: 1°44′50″N 40°04′08″E / 1.74722°N 40.0689°E / 1.74722; 40.0689
Nchi Kenya
Nambari8
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Kaskazini Mashariki
Mji mkuuWajir
Miji mingineHabaswein, Tarba
Serikali
GavanaBalozi Mohamed Abdi Mahamud EGH
Naibu wa GavanaAhmed Muktar Ali
SenetaAbdullahi Ibrahim Ali
Mwakilishi wa wanawakeFatuma Gedi Ali
BungeBunge la Kaunti ya Wajir
Maeneo bunge
Eneo
Jumlakm2 56 773.1 (sq mi 21 920.2)
Idadi ya Watu
Jumla781,263[1].
Msongamano14 /km²
Majira ya SaaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti
wajir.go.ke

Kaunti ya Wajir ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 781,263 katika eneo la km2 56,773.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 14 kwa kilometa mraba[2]..

Makao makuu yako Wajir.

Kaunti ya Wajir imegawanywa katika maeneo yafuatayo[3]:

Eneo bunge Kata
Wajir East Wagberi, Wajir Mjini, Barwaqo, Khorof Harar
Tarbaj Elben, Sarman, Tarbaj, Wargadud
Wajir West Arbajahan, Hadado/Athibohol, Adamasajide, Ganyure/Wagalla
Eldas Eldas, Della, Lakoley Kusini/Basir, Elnur
Wajir South Benane, Burder, Dadajabula, Habaswein, Lagbogol Kusini, Ibrahim Ure, Diff
Wajir North Gurar, Bute, Korondille, Malkagufu, Batalu, Danaba, Godoma

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [4]

[hariri | hariri chanzo]
  • Buna 49,886
  • Eldas 88,509
  • Habaswein 174,134
  • Tarbaj 57,232
  • Wajir East 110,654
  • Wajir North 62,206
  • Wajir South 116,814
  • Wajir West 121,828

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.knbs.or.ke
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.
  3. "Wadi za uchauguzi Ilihifadhiwa 4 Julai 2016 kwenye Wayback Machine.", Serikali ya Wajir, Ilipatikana 12-04-2018
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.