Kaunti ya Kitui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa makao makuu, soma Kitui

Kaunti ya Kitui
Kaunti
Tsavo east panorama.jpg
Flag of Kitui County.jpg Coat of Arms of Kitui County.jpg
Bendera Nembo ya Serikali
Kitui County in Kenya.svgKitui County in Kenya.svg
Kaunti ya Kitui katika Kenya
Nchi Flag of Kenya.svg Kenya
Namba 15
Ilianzishwa Tarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa na Mkoa wa Mashariki
Makao Makuu Kitui
Miji mingine Mwingi
Gavana Charity Kaluki Ngilu,EGH
Naibu wa Gavana Gideon Nzau Wathe
Seneta Enoch Kiio Wambua
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) Irene Muthoni Kasalu
Bunge la Kaunti Bunge la Kaunti ya Kitui
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa 40
Maeneo bunge/Kaunti ndogo 8
Eneo 24,385.1 km2 (9,415.1 sq mi)
Idadi ya watu 1,012,709
Kanda muda Saa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti kitui.go.ke

Kaunti ya Kitui ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Makao makuu yako Kitui.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kitui inapakana na kaunti za Tana River, Taita Taveta, Makueni, Machakos, Embu na Tharaka Nithi. Ina hali ya tabianchi kavu na nusu kavu. Ina vilima na ardhi tambarare. Kitui hupata misimu miwili ya mvua, Machi hadi Mei na Oktoba hadi Disemba.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kitui imegawanywa katika maeneo yafuatayo[1]:

Kata ndogo Wadi
Mwingi Kaskazini Ngomeni, Kyuso, Mumoni, Tseikuru, Tharaka
Mwingi Magharibi Kyome/Thaana, Nguutani, Migwani, Kiomo/Kyethani
Mwingi ya Kati Mwingi Central, Kivou, Nguni, Nuu, Mui, Waita
Kitui Magharibi Mutonguni, Kauwi, Matinyani, Kwa Mutonga/Kithumula
Kitui Rural Kisasi, Mbitini, Kwa Vonza/Yatta, Kanyangi
Kitui ya Kati Miambani, Township, Township, Kyangwithya West, Mulan, Kyangwithya Eastgo
Kitui Mashariki Zombe/Mwitika, Nzambani, Chuluni, Voo/Kyamatu, Endau/Malalani, Mutito/Kaliku
Kitui Kusini Ikanga/Kyatune, Mutomo, Mutha, Ikutha, Kanziko, Athi

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kitui County Assembly - Wards. Iliwekwa mnamo 2018-04-17.