Maeneo bunge ya Kenya
Mandhari
Maeneo bunge ya Kenya yanatumika kuchagua wajumbe wa bunge la Kenya. Kuna maeneo bunge 290 nchini Kenya.
Kenya ina mfumo wa kupiga kura wa mshindi-mmoja, kumaanisha kila eneo bunge linachagua mbunge mmoja tu.
Maeneo bunge yamegawanywa zaidi katika kata, zinazotumika kuchagua madiwani kwa serikali za mitaa.
Wabunge na madiwani wanachaguliwa wakati wa uchaguzi mkuu unaofanyika kila baada ya miaka mitano. Uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2007 ulisababisha mgogoro mkubwa.
Baada ya hapo ilitungwa katiba mpya ya mwaka 2010.
Maeneo bunge kaunti kwa kaunti
[hariri | hariri chanzo]- Eneo bunge la Dagoretti Kaskazini
- Eneo bunge la Dagoretti Kusini
- Eneo bunge la Embakasi Kaskazini
- Eneo bunge la Embakasi Kusini
- Eneo bunge la Embakasi Magharibi
- Eneo bunge la Embakasi Mashariki
- Eneo bunge la Embakasi ya Kati
- Eneo bunge la Kamukunji
- Eneo bunge la Kasarani
- Eneo bunge la Kibra
- Eneo bunge la Lang'ata
- Eneo bunge la Makadara
- Eneo bunge la Mathare
- Eneo bunge la Roysambu
- Eneo bunge la Ruaraka
- Eneo bunge la Starehe
- Eneo bunge la Westlands
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Independent Electoral and Boundaries Commission Ilihifadhiwa 5 Agosti 2013 kwenye Wayback Machine.
- Tume ya Uchaguzi ya Kenya (ECK iliyovunjwa) (www.eck.or.ke) Ilihifadhiwa 8 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.