Kaunti ya Nakuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ziwa Nakuru kaunti ya Nakuru

Kaunti ya Nakuru ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 2,162,202 katika eneo la km2 7,462.4, msongamano ukiwa hivyo wa watu 290 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Nakuru.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Nakuru ina maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eeneo bunge Kata
Bahati Dundori, Kabatini, Kiamaina, Lanet/Umoja, Bahati
Gilgil Gilgil, Elementaita, Mbaruk/Eburu, Malewa West, Murindati
Kuresoi Kaskazini Kiptororo, Nyota, Sirikwa, Kamara
Kuresoi Kusini Amalo, Keringet, Kiptagich, Tinet
Molo Mariashoni, Elburgon, Turi, Molo
Naivasha Biashara, Hells Gate, Lake View, Maiella, Mai Mahiu, Olkaria, Naivasha East, Viwandani
Nakuru Mjini Magharibi Barut, London, Kaptembwo, Kapkures, Rhoda, Shabaab
Nakuru Mjini Mashariki Biashara, Kivumbini, Flamingo, Menengai, Nakuru East
Njoro Mau Narok, Mauche, Kihingo, Nessuit, Lare, Njoro
Rongai Menengai WesSoint, Visoi, Mosop, Solai
Subukia Subukia, Waseges, Kabazi

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3][hariri | hariri chanzo]

  • Gilgil 185,209
  • Kuresoi North 175,074
  • Kuresoi South 155,324
  • Molo 156,732
  • Naivasha 355,383
  • Nakuru East 193,926
  • Nakuru North 218,050
  • Nakuru West 198,661
  • Njoro 238,773
  • Rongai 199,906
  • Subukia 185,164

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30. 
  2. http://countytrak.infotrakresearch.com/Nakuru-county/
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.