Mtwapa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mtwapa
Nchi Kenya
Kaunti Kilifi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 48,625
Machweo na maboti huko Mtwapa.

Mtwapa ni mji wa Kenya kusini, katika kaunti ya Kilifi.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 48,625[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.