Nenda kwa yaliyomo

Moyale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moyale



Moyale
Moyale is located in Kenya
Moyale
Moyale

Mahali pa mji wa Moyale katika Kenya

Majiranukta: 3°32′0″N 39°3′0″E / 3.53333°N 39.05000°E / 3.53333; 39.05000
Nchi Ethiopia, Kenya
Kaunti Marsabit
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 37,387

Moyale ni mji wa mpakani: sehemu kubwa iko upande wa Ethiopia, na ile ndogo upande wa Kenya katika kaunti ya Marsabit.

Wakazi upande wa Kenya walikuwa 37,378 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Moyale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.